Mnyivindi Microfinance Limited tunatoa elimu nzuri kwa wateja wetu kufikia malengo yao katika biashara Wazo la biashara ni muhimu na inapaswa kutangulia kabla ya biashara ama mtaji wa biashara, Kukopa ni kununua mtaji mtu mwenye wazo anaetaka kuwa mfanyabiashara usipende kukumbilia kununua pesa kabla ya kuwa na wazo la biashara Maarifa madogo juu ya sayansi